Kali D – Kashfa Lawama lyrics

Intro: Kali D & Kitu Sewer
Kashfa (kila siku)
Kashfa Lawama (Haha!)
Umeiskia kwa gazeti
Unaiona kila siku kwa T.V
Iko nje ya mlango ukitoka, redio pia
Unajifanya uko mzuri (na majirani)
Ukona Kashfa,(kwa streets ukitembea na mabeshte)
Anglolease, nini sakata yani ngori hujawai ona
Hakuna mtu anataka yote ni Kashfa. Chorus: Kali D
Nooks, juu anything I do ni kashfa lawama
Crooks, ni hao mabig but mi ndo hubeba hiyo kashfa lawama
Choose kuchill usibooze, muthutho kashfa lawama
Boobs, dame kumscrew vooks kashfa lawama
So tools tunause kudismantle hiyo kashfa
I refuse hawatahandle hiyo kashfa lawama. Verse 1: Kali D
Books kuzikataa imekulazimisha kuvaa ma Gideon boots
Ukawa street soldier, hamna noma
But my opinion anytime una goods
Worth a million, usilete moods kwa biz please
Zinaeza kuacha na vioja mahakamani
Na si ile funny ni kashfa, law suits
Ikawa badala ujiboost
Unajijustify kujiprove vile hauko kwa hiyo noma
Lex Coupes umetry kuwai kutoka zamani na ndo uicruise
Njia ni gani bila kupata makashfa manooks za hii na flani
Ingawaje nilizaliwa kwa generation ya kubreak rules
Haunipati nikivuna fruits sikupanda bila ka plani
Uliambia aje? Deal ikiwa too good inaeza kuwa devil’s soup
Na ni kashfa, na juu kumanga ni lazma
Huyu hustler hupata beef kwa hood kabla adish kwa booth
To speak the truth, sometimes nihuchai ask me why
System iko designed ndo ukunywe chai
Lazima ustrickly loot ka huvai suit
Haunyongi tie weh hunyonga wai
Nine feet ni soon
Mama aliniteach life ni yako weh choose just make sure usilose
Papa akapreach utalipa kashfa ulicreate in each and every move
But hiyo hainimove, lawama sikuseduce Adam and Eve wanisoothe
So nikiskia kiu, mi hudrink juice
Lazima ni pay dues, lazima nipe booze. Verse 2: Kitu Sewer
Kashfa lawama starehe ni garama, toa gun ka Barasa
Plus siasa imetwangwa , na pia hiyo ganja imemwagwa
Hiyo yote ni propaganda plus properly imeganda
Si ndo the reason art and craft ilitolewa kwa syllabus juu ni upusi
Ka mtu amesoma na degree yake hakuli
Lakini kijana wa mtaa ametoa ngoma na akaearn mita kumi
Heshima yako ni ka deni ya last year, keep it
Bank ni ka washing machine, blood money hutoka clean ka clinic
Yeah, pande ya swagger enyewe labda mfupa, nyama walishaimanga
Kichwa walishaichop wakaenda nayo mwili iko display
Wastiri wanawindow shop, witness alitupwa kwa choo
Mbleina fake alimanga hiyo doe
Sperm bank hauezi trade na saliva
Bribe kuearn doe ya kutosha kusomesha mtoi Braeburn
Kutoka kwa frying pan ka uko kwa menu
Bypa** juu ni dog eat dog society
Wiper juu kunafog hawaoni poa
Bypa** juu wako chini
Order juu hatutaki high cla**
Kashfa state of thinking akiblink mara tatu ni uongo
Bleach? Enyewe ako mara tatu ya mngoso
Ukona lawama? Hawakuachi ni ka nzi kwa vidonda fresh
Ni ka Pope hauendi bila kuwaacha na blessing
Na deni pia ni culture karibu waiundie sect
Na wako kwa network nika wako kwa shati ya checked
Uko kwa korti kumaanisha ukona case
Niambie pola mwite maspy wanapull macomeback
Karibuni wataunda maweb
Ukona land umeunda keja 25M kuamkia kesho yake impigwa X na Gova
Na wengine ka wewe wanaishi less than a dollar a day
Your Excellency sijui ka inamake sense kwako
But jua inaburn nika imeekewa lense

Leave a Comment

error: Content is protected !!